Monday 25 May 2015

Tamasha la elimu lilivofana 2015

2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista  Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua  ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule  hiyo  wakati alipofungua  maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mai11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni  Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa na Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta.

kwanini shule za binafsi zinafaulu vizuri zaidi kuliko za serikali?


Performance of Secondary Schools in Tanzania

Almost the performance of O-level Government secondary schools is very poor compared to private schools. The main objective of this article is to find the causes for the mass failure of most form four students in their National examinations (NECTA). The most used method in Data collection is like direct interview and documentary sources where by a team of twenty students was selected to obtain data, ten gentlemen and ten ladies where interviewed. Below are causes identified:
Lack of School Fees Most of the Government o-level schools for Tanzania pays 20,000/= approximately to about a year. Most of them do not afford to pay for the school fees allocated by the Government. The act of the school management to suspend them to home by giving reason that these students has not paid a school fees demoralize the capacity for them to acquire better education.

Thursday 7 May 2015

RADI ILIYOUA WANAFUNZI NA MWALIMU WAO



Wednesday, 15 April 2015


Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu..


Watu nane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya, baada ya kupigwa na radi ambayo chanzo chake kimeelezwa kuwa ni kunyesha kwa mvua kubwa iliyodumu kwa takribani saa tatu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.

Taarifa za awali zimeeleza kuwa miongoni mwa watu waliofariki ni pamoja na wanafunzi sita, mwalimu mmoja na raia mmoja ambaye ni mkazi wa kijiji cha Bangwe mkoani Kigoma.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Dk Fadhili Kibaya ambaye ni Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Maweni amesema, Tukio hilo limetokea jana majira ya saa saba ambapo alipokea majeruhi 15 na miili 8 ikiwemo 6 ya wanafunzi, mwalimu mmoja wa shule ya msingi Kibilizi na mkazi mmoja wa Bangwe.
Shuhuda wa tukio hilo ambaye ni Mwalimu wa darasa la kwanza shuleni hapo  Melina Sililo, amesema wakati alipokuwa akiendelea na kufundisha aliona wingu likitanda na Mvua ikaanza kunyesha jambo lililosadabisha giza.
Amesema hali hiyo ilimfanya ashindwe kufundisha na wakati huohuo radi zilipigwa na moto ukatanda darasa zima ambapo yeye pamoja na watoto zaidi ya kumi walianguka.
Aidha amesema mwalimu Mbwambo alizimia kwa muda kidogo na baada ya kuhangaika kumpatia msaada walimkuta amekwisha fariki hali iliyowalazimu kuomba msaada wa gari la kuwafikisha maiti hao pamoja na majeruhi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo Maweni.

No comments:


Post a Comment



Mvua jijini DSM yakwamisha jitihada za wanafunzi kujitafutia elimu.

Tuesday 5 May 2015

WANAFUNZI WALIA VITUONI ATHARI ZA MGOMO WA MABASI NA DALADALA JIJINI MBEYA


Leo hakuna adhabu ya kuchelewa namba shule.......ni wanafunzi wa shule mbaimbali jijini mbeya wakiwa katika kituo cha mabasi madogo daladala Mwanjelwa wakisubiri usafiri wa aina yoyote utakao wafikisha mahala wanapo takiwa kufika mara baada ya kuwepo kwa mgomo wa madereva wa daladala na mabasi makubwa wakishinikiza serikali kuwatatulia kero mbalimbali walizo nazo ambazo wanataka wamiliki au waajili wao wazipatie ufumbuzi(.Picha na Fahari News)



HE!!! kumbe hawa si abiria ni madereva na makonda wa daladala nao wakihaha kutaka kutoa huduma lakini ndo hivyo wanasubiri tamko la viongozi wao