Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Sista Flosy Sequeire, Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Saint Francis ya Mbeya tuzo maalum ya kutambua ufalu mzuri wa wanafunzi wa shule hiyo wakati alipofungua maadhimisho ya wiki ya Elimu kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Mai11, 2015. Wemgne kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Seriklai za Mitaa, Kassim Majaliwa, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa na Mbunge wa Viti Maalum, Margareth Sitta.
Showing posts with label Education General. Show all posts
Showing posts with label Education General. Show all posts
Monday, 25 May 2015
Thursday, 30 April 2015
Welcome to Tusiime Schools
Tusiime Schools
Tusiime Schools is a community of approximately three thousand student from Nursery to Secondary. For students whose curiosity is as great as their ambition, whose desire to serve matches their desire to achieve. Tusiime Schools provides boundless opportunities for intellectual, creative and personal growth.
Teaching is consistently good and teachers are always striving to improve. They plan lessons that excite the pupils and there is a strong focus on investigative approaches to learning in all lessons.
Teaching is consistently good and teachers are always striving to improve. They plan lessons that excite the pupils and there is a strong focus on investigative approaches to learning in all lessons.
Ajira Mpya za Walimu Kwa Mwaka 2015.
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa.
kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa zifuatazo:
Tuesday, 28 April 2015
Eeast Africa essay writting competition 2015
The East African Community Secretariat has organized the EAC students essay writing competition year 2015. The Essay writing competition is intended to broaden knowledge of the school going population on EAC activities. The topic for year 2015 in English is “Why is political stability important for the intergration of East African Community Partner States” In Kiswahili is “Jadili umuhimu wa utulivu wa kisiasa katika mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki” The competition is open to students in Form 1 to form 4 who are required to write essays between 1000 – 1500 words.
Subscribe to:
Posts (Atom)

