Showing posts with label Sera. Show all posts
Showing posts with label Sera. Show all posts

Tuesday, 28 April 2015

Waraka wa Elimu na Vigezo vya Udahili kwa wanafunzi wa kidato cha tano


Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inatoa Waraka kuhusu vigezo vya kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano ili kuwaongoza wamiliki wa Shule za Sekondari zenye Kidato cha Tano katika kudahili wanafunzi wa Kidato cha Tano, mwaka 2015. Waraka huu utatumika kwa shule zote, yaani za Serikali na zile zisizokuwa za Serikali.

Bonyeza linki hii hapa  kusoma waraka 

Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo

Fungua link hii hapa chini usome Sera  mpya ya Elimu na Mafunzo 2014

Sera ya Elimu na mafunzo 2014