Our Contact

Cell phone No.

0764821460

Email
themaxon15@gmail.com

2 comments:

  1. ADA ELEKEZI YAOTA MBAWA
    Taarifa zilizotufikia wiki hii zinaeleza kuwa serikali inakusudia kusitisha mpango wa kupanga viwango vya ada zitakazotozwa na shule zinazomilikiwa na watu binafsi. Uamzi huo unakaribia kufikiwa baada ya serikali kushindwa kujitetea mbele ya kamati ya huduma za jamii katika kikao kilichowahusisha baadhi ya wamiliki wa shule binafsi. aidha viongozi wakuu wa wizara ya elimu sayansi teknolojia na mafunzo ya ufundi wanadaiwa kukosa hoja ya msingi iliyowafanya waanzishe mchakato wa kile kilichoitwa Ada elekezi.

    ReplyDelete
  2. ADA ELEKEZI YAOTA MBAWA

Comment here.....